Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Rafiki mlikuwa na raha sana watu wa zamani. Muko wapi siku hizi sa? 🤣🤣🤣Jf ya zamani
party .kerby hotel
party escape two
Vikao vya kila jmos(bata)
Hongereni rafiki. Kwenye hiyo mikutano mlikuwa mnajadili nini na mbona haijawa endelevu?jf ya zamani tulifanya hadi party. Mikutano
Nimemkumbuka sana Kipaji Halisileo tuko hapa .kila week end.mwananyamala hy
tupo rafikiRafiki mlikuwa na raha sana watu wa zamani. Muko wapi siku hizi sa? 🤣🤣🤣
Ooh! Sawa rafiki.tupo rafiki