T TUMY JF-Expert Member Joined Apr 22, 2009 Posts 705 Reaction score 93 Jan 19, 2012 #1 Nimejaribu kutafakari tangazo hilo kidogo linanipa mashaka kwanini maneno haya kila siku ama yana ukweli ndani yake. View attachment JAY Z.doc
Nimejaribu kutafakari tangazo hilo kidogo linanipa mashaka kwanini maneno haya kila siku ama yana ukweli ndani yake. View attachment JAY Z.doc
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 54,762 Reaction score 59,204 Jan 19, 2012 #2 huyo mchungaji ni kweli aliweka hilo bango ila akaambiwa alitoa na akalitoa
Possibles JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 1,933 Reaction score 2,439 Jan 19, 2012 #3 Duh!Cha kufanya ni kushika kile ulichonacho halafu hutaona mambo kama haya yakikunyima raha
RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member Joined Jan 2, 2012 Posts 883 Reaction score 167 Jan 19, 2012 #4 TUMY said: Nimejaribu kutafakari tangazo hilo kidogo linanipa mashaka kwanini maneno haya kila siku ama yana ukweli ndani yake. View attachment 45657 Click to expand... Duh maono ya kina Mwingira na Mzee wa upako haya
TUMY said: Nimejaribu kutafakari tangazo hilo kidogo linanipa mashaka kwanini maneno haya kila siku ama yana ukweli ndani yake. View attachment 45657 Click to expand... Duh maono ya kina Mwingira na Mzee wa upako haya