Nimeikuta Kwa Mfuasi wa M23

Nimeikuta Kwa Mfuasi wa M23

Status
Not open for further replies.

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
[h=5]Wa Tanzania Musubiri Kupokeaya Sadunku Za watoto na ma bwana zenu askari ambao Kikwete na CCM yake wametumana Congo sababu ya Kujitajirisha wao wenyewe. Musizani kama nawapa habari za Uongo. Jana tena majeshi Ya Tanzania ilianguka katika Amboushi ya Majeshi ya m23 Wengi wamekufa, Wawili ndio wameonekana katika Hospitali ya Goma, kama Vile radio ya UN ilitangaza. Maiti wamezifica sababu wanaogopa wanabunge wao wasiwasumbuwe na ma swali. lakini Ukweli Utajulika. Sisi Tunawaheshimu wa Tanzania na Tunawapenda sana, hata Ma driver Wa ma Roli kutoka Inci yenu wanapo pita Mahali tuna controle tunawapa usalama wao. Sijuwe Huyu Kikwete anataka nini? Kwa nini hawezi ambiya rafiki yake Kabila arudi kampala tuzungumuze kuliko kuuwana. VITA SIMUZURI. apa congo sisi tunao sema kinyarwanda wanatuita wanyarwanda eti turindi Rwanda na sisi tumekataa, Masisi, Rutshuru na MULENGE ni kwetu hatutatoka, Hata NATO ije, tutamenyana. ZIMBAMBWE, NAMIMBIA, ANGOLA walikuja tupiganisha wakashindwa kweli Watanzaniya ndiyo wataweza? MUTAKUFA BURE SANA na KIKWETE ACOUNT ZAKE ZITAJAZWA PESA YA JOSEPH KABILA. Kama dungu yako askari iko uku Congo ebu Jaribu number yake kama haipite maana yake Ameanga Dunia na ameenda onana na shetani ama Mungu[/h]
Source:https://www.facebook.com/mutuwabien?hc_location=stream
 
could be true wameua wengi.
Could equally be mind battle, normal in warfront
 
i smell shit m23 are bunch of cowards who the f is m23
 
Si ndo hawa waliosema wamemkamata Askari wa JWTZ huko Congo? Baada ya JWTZ kukanusha mbona wako kimya? M23 ni watu wa Propaganda. Askari waliokufa ni wa nchini CONGO, kumbuka kuwa kwenye haya mapigano Majeshi ya CONGO ndio yanayosogezwa mbele maana ndio nchi yao. Mi ninavyojua ni kwamba m23 wanatandikwa sana huko DRC.
 
Pambaf zake na kiswahili chake kibovu. Jamaa ni watu wa kuchezea kichapo mpaka waondoke Congo. Big up Kikwete
 
Huyo ---- tu na muongo hakuna mtanzania ambaye ameuawavmpaks sasa ni wenyewe kwa wenyewe hizo ni propagsnda za M23 na hawa ndg zao anbao wapo huku tunafikiria kuwafukuza nchini kwetu!!
 
Kupitia BBCW jana nilifanikiwa kusikia katika ambushi moja baadhi ya majeruhi ni askari wa Tanzania

Sikusikia habari za maafa yoyote bali majeruhi hili nililisikia moja kwa moja
 
Sitashangaa askari wa Tz kufa alafu serikali ya ccm ikadanganya na kusema "wamejeruiwa". Ila kama BBC wamesema kuna askari wa Tz wamepigwa ambushi na wengine "wamejeruiwa" basi kuna kitu hapa kinafichwa...
 
PROPAGANDA ZAO tuu HIZO WALIOKUFA WENGI NI ASKARI WA KONGO soma new york time AU ap news
 
nyie ba M23 muondoke mu Kongo! askari ba Tanzania iko na nguvu sana. balimpika Amin akakimbia Buganda sasa na nyie bandugu mjifikiri sana. Kagame iko wapa maslaha na nyingi pigana na kuua batu ba Kongo. mnakuiba madini ya Kongo mnamupa bwana yenu Kagame. Kagame iko muuaji sana. hatupendi hiyo mutu. yeye penda pigana vita. vita mubaya sana.
 
TPDF is very strong that's Y propaganda kibao.....!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Pambaf zake na kiswahili chake kibovu. Jamaa ni watu wa kuchezea kichapo mpaka waondoke Congo. Big up Kikwete

unamtukana kwa kiswahili kibovu vipi ukipewa uamdike lugha yake yaani kifaransa..
 
No Comment nasubili tamko la wahusika from Tanzania.
 
Propaganda hizi M23 wanapropaganda wapigwe tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom