ok.🐒Halafu Huyu Judge Ndunguru ndiye aliyesimamia ile kesi ya Bandari iliyofunguliwa na akina Mwabukusi. Kesi hii sasa itaanza kusikilizwa court of Appeal muda si mrefu.
Sijui ni Kwa nini serikali inapenda sana kumtumia huyu bwana, kuna namna tu…anapindisha sana mambo…
Na mimi naona kama ccm inamtumia kupika na kufikia malengo yao kupitia mahakama.Halafu Huyu Judge Ndunguru ndiye aliyesimamia ile kesi ya Bandari iliyofunguliwa na akina Mwabukusi. Kesi hii sasa itaanza kusikilizwa court of Appeal muda si mrefu.
Sijui ni Kwa nini serikali inapenda sana kumtumia huyu bwana, kuna namna tu…anapindisha sana mambo…
Unaogopa nini acha unafiki hii ni zamu ya zenzinith wakipiga wapige haswa maana hii ndio karne yaoHalafu Huyu Judge Ndunguru ndiye aliyesimamia ile kesi ya Bandari iliyofunguliwa na akina Mwabukusi. Kesi hii sasa itaanza kusikilizwa court of Appeal muda si mrefu.
Sijui ni Kwa nini serikali inapenda sana kumtumia huyu bwana, kuna namna tu…anapindisha sana mambo…
..ni kweli hamjui kwamba wapo mahakimu, majaji na wabunge ni waajiriwa wa genge la tiss ili kudeal na hizi assignment kwa urahis..? Mbona iko wazi tu!Halafu Huyu Judge Ndunguru ndiye aliyesimamia ile kesi ya Bandari iliyofunguliwa na akina Mwabukusi. Kesi hii sasa itaanza kusikilizwa court of Appeal muda si mrefu.
Sijui ni Kwa nini serikali inapenda sana kumtumia huyu bwana, kuna namna tu…anapindisha sana mambo…