HIVI SEFUE BADO HAJATAFUTIWA HIYO KAZI NYINGINE!!?
Hapo ndiyo ujue kupata kazi Tanzania ni ngumu.... Kama Rais anamtafutia kazi Sefue hadi leo hajapata halafu wewe na mimi mtoto wa mkulima/ katibu tarafa unajipa moyo utaajiriwa kirahisi?
Utasubiri sana!