Nimeilipia huduma mtandaoni kwa M-PESA visa, dollar 1 ni sawa Tsh 3,000

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,325
Reaction score
7,807
Kama kichwa cha habari hapo juu
Nimeilipia huduma Fulani mitandaoni naona gharama ni kubwa sana ni kwamba voda huwa wanakata makato yao wa huduma ama ndio hali iliyopo
 
Umezitoa zile forex costs? Kama ni kadi huwa wanaainisha.

By the way kama sie hatuwauzii vitu vya gharama watu wa nje. Tumekomaa kuuza malighafi kwa ma tani na ma tani ni lazima hela zao ziwe na thamani kubwa siku hadi siku.
 
Kama kichwa cha habari hapo juu
Nimeilipia huduma Fulani mitandaoni naona gharama ni kubwa sana ni kwamba voda huwa wanakata makato yao wa huduma ama ndio hali iliyopo
Ni mara Yako ya ngapi kufanya manunuzi kupitia mpesa visa card!? Musiwe mnakimbilia kulalama bila kujielimisha kuhusu huduma husika ,Huwa Kuna makato mengi sana ,Mimi juzi nimeagiza kifaa China Cha Dola 27 makato yalifika Hadi 90K, na si mara yangu ya kwanza kufanya manunuzi
 
Kalalamika au kauliza ,msiwe mnakimbilia kujudge watu
 
Ni mara Yako ya ngapi kufanya manunuzi kupitia mpesa visa card!? Musiwe mnakimbilia kulalama bila kujielimisha kuhusu huduma husika ,Huwa Kuna makato mengi sana ,Mimi juzi nimeagiza kifaa China Cha Dola 27 makato yalifika Hadi 90K, na si mara yangu ya kwanza kufanya manunuzi
Yas ndiyo hayo makato ninayoongelea Foreign exchange sijui nini nini London express wanaandikaga nimesahau.

Gulio Tanzania aione
 
Payment za kupitia mitandao ya simu makato ni makubwa sana.... zaidi ya 3,000 kwa dollar.
Ila ukitumia card ya bank moja kwa moja ni nafuu zaidi..
mm natumia paypal ambayo inakata kwenye card ya bank ...1 dollar ni 2,850
 
Hayo ni makato ya kawaida,halafu jifunze kufokasi Kwa kile unachokinunua sio makato,Kwa mfano Mimi niliagiza Epson printhead Kwa Dola 27 na makato juu,wakati huo Epson printhead Kwa Tanzania ni laki 2-4, Sasa je niangalie makato au niangalie kile nilichoagiza kina faida Gani kwangu na nimesave kiasi gani!?

Ukiona unachokiagiza gharama ziko sawa na kununua hapa nchini acha kuagiza ili kuepusha malalamiko ya Dola sawa na sh 3000
 
Sasa ndio unanifokea huduma niliyokuwa nalipia bei ni kubwa kuliko ningeipata hapa nchini ila ndio hivyo watanzania wengi ni wababaisha hivyo nimeona Bora kuumia
 
Si ununue dollar zimetapakaa mtaani kwa TZS 2,740.00 kwa kila 1.00 USD halafu ufanye malipo yako!
 
Payment za kupitia mitandao ya simu makato ni makubwa sana.... zaidi ya 3,000 kwa dollar.
Ila ukitumia card ya bank moja kwa moja ni nafuu zaidi..
mm natumia paypal ambayo inakata kwenye card ya bank ...1 dollar ni 2,850
PayPal ipo tanzania ivi?
 
Payment za kupitia mitandao ya simu makato ni makubwa sana.... zaidi ya 3,000 kwa dollar.
Ila ukitumia card ya bank moja kwa moja ni nafuu zaidi..
mm natumia paypal ambayo inakata kwenye card ya bank ...1 dollar ni 2,850
MKuu nipe elimu kidogo kuhusiana na paypal natamani sana nifungue akaunti hii
 
Back
Top Bottom