Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Mwenzio nililipia 3200 kwa kila dola mojaKama kichwa cha habari hapo juu
Nimeilipia huduma Fulani mitandaoni naona gharama ni kubwa sana ni kwamba voda huwa wanakata makato yao wa huduma ama ndio hali iliyopo
Hapana Kuna huduma nilikuwa nailipi aUmetoa ile forex costs?
Sina hakika inawezekana ni euro hiyoMwenzio nililipia 3200 kwa kila dola moja
Ni mara Yako ya ngapi kufanya manunuzi kupitia mpesa visa card!? Musiwe mnakimbilia kulalama bila kujielimisha kuhusu huduma husika ,Huwa Kuna makato mengi sana ,Mimi juzi nimeagiza kifaa China Cha Dola 27 makato yalifika Hadi 90K, na si mara yangu ya kwanza kufanya manunuziKama kichwa cha habari hapo juu
Nimeilipia huduma Fulani mitandaoni naona gharama ni kubwa sana ni kwamba voda huwa wanakata makato yao wa huduma ama ndio hali iliyopo
Kalalamika au kauliza ,msiwe mnakimbilia kujudge watuNi mara Yako ya ngapi kufanya manunuzi kupitia mpesa visa card!? Musiwe mnakimbilia kulalama bila kujielimisha kuhusu huduma husika ,Huwa Kuna makato mengi sana ,Mimi juzi nimeagiza kifaa China Cha Dola 27 makato yalifika Hadi 90K, na si mara yangu ya kwanza kufanya manunuzi
Yas ndiyo hayo makato ninayoongelea Foreign exchange sijui nini nini London express wanaandikaga nimesahau.Ni mara Yako ya ngapi kufanya manunuzi kupitia mpesa visa card!? Musiwe mnakimbilia kulalama bila kujielimisha kuhusu huduma husika ,Huwa Kuna makato mengi sana ,Mimi juzi nimeagiza kifaa China Cha Dola 27 makato yalifika Hadi 90K, na si mara yangu ya kwanza kufanya manunuzi
Hahahahaaaaaaah!😄 broh!Kalalamika au kauliza ,msiwe mnakimbilia kujudge watu
Hayo ni makato ya kawaida,halafu jifunze kufokasi Kwa kile unachokinunua sio makato,Kwa mfano Mimi niliagiza Epson printhead Kwa Dola 27 na makato juu,wakati huo Epson printhead Kwa Tanzania ni laki 2-4, Sasa je niangalie makato au niangalie kile nilichoagiza kina faida Gani kwangu na nimesave kiasi gani!?Yas ndiyo hayo makato ninayoongelea Foreign exchange sijui nini nini London express wanaandikaga nimesahau.
Gulio Tanzania aione
Sasa ndio unanifokea huduma niliyokuwa nalipia bei ni kubwa kuliko ningeipata hapa nchini ila ndio hivyo watanzania wengi ni wababaisha hivyo nimeona Bora kuumiaHayo ni makato ya kawaida,halafu jifunze kufokasi Kwa kile unachokinunua sio makato,Kwa mfano Mimi niliagiza Epson printhead Kwa Dola 27 na makato juu,wakati huo Epson printhead Kwa Tanzania ni laki 2-4, Sasa je niangalie makato au niangalie kile nilichoagiza kina faida Gani kwangu na nimesave kiasi gani!?
Ukiona unachokiagiza gharama ziko sawa na kununua hapa nchini acha kuagiza ili kuepusha malalamiko ya Dola sawa na sh 3000
PayPal ipo tanzania ivi?Payment za kupitia mitandao ya simu makato ni makubwa sana.... zaidi ya 3,000 kwa dollar.
Ila ukitumia card ya bank moja kwa moja ni nafuu zaidi..
mm natumia paypal ambayo inakata kwenye card ya bank ...1 dollar ni 2,850
Land rover FestivalKama kichwa cha habari hapo juu
Nimeilipia huduma Fulani mitandaoni naona gharama ni kubwa sana ni kwamba voda huwa wanakata makato yao wa huduma ama ndio hali iliyopo
Sijafoka mkuu ,nilikuwa nakuelewesha tuSasa ndio unanifokea huduma niliyokuwa nalipia bei ni kubwa kuliko ningeipata hapa nchini ila ndio hivyo watanzania wengi ni wababaisha hivyo nimeona Bora kuumia
ndio ila unaweza kutuma na kufanya malipo tu ila huwzi kupokea pesaPayPal ipo tanzania ivi?
MKuu nipe elimu kidogo kuhusiana na paypal natamani sana nifungue akaunti hiiPayment za kupitia mitandao ya simu makato ni makubwa sana.... zaidi ya 3,000 kwa dollar.
Ila ukitumia card ya bank moja kwa moja ni nafuu zaidi..
mm natumia paypal ambayo inakata kwenye card ya bank ...1 dollar ni 2,850