Nimeimiss nanii mpaka nachuruzika .....

Nimeimiss nanii mpaka nachuruzika .....

Mambembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2018
Posts
2,217
Reaction score
2,970
Hope wote mu wazimaa.....

ila kusema kweli jamani nimeimiss JAMII FORUM mpaka machozi YANANICHURUZIKA semaa huyu boss mpyaa anatupeleka mchaka mchaka mpaka nasahau kushika simu

All in all nimewamiss sana esp mabwana zangu wa PM(kama naona wasionipenda wanavyosonya l.o.l)

MAMBEMBE THE UNTOUCHABLE
QUEEN OF KING BED
 
The List kakumisss mnoo anasema hawez log in jf mpaka nawe urudi.

Imbecile
 
The List kakumisss mnoo anasema hawez log in jf mpaka nawe urudi.

Imbecile
Ndo nani huyo?? last tym i checked my list ya watu ninaowajuaa sikumbuki kama na yy yumo
 
Hope wote mu wazimaa.....

ila kusema kweli jamani nimeimiss JAMII FORUM mpaka machozi YANANICHURUZIKA semaa huyu boss mpyaa anatupeleka mchaka mchaka mpaka nasahau kushika simu

All in all nimewamiss sana esp mabwana zangu wa PM(kama naona wasionipenda wanavyosonya l.o.l)

MAMBEMBE THE UNTOUCHABLE
QUEEN OF KING BED
KARIBU nikukune harara h
 
Back
Top Bottom