KARIBU nikukune harara hHope wote mu wazimaa.....
ila kusema kweli jamani nimeimiss JAMII FORUM mpaka machozi YANANICHURUZIKA semaa huyu boss mpyaa anatupeleka mchaka mchaka mpaka nasahau kushika simu
All in all nimewamiss sana esp mabwana zangu wa PM(kama naona wasionipenda wanavyosonya l.o.l)
MAMBEMBE THE UNTOUCHABLE
QUEEN OF KING BED