Hope wote mu wazimaa.....
ila kusema kweli jamani nimeimiss JAMII FORUM mpaka machozi YANANITIRIRIKA semaa huyu boss mpyaa anatupeleka mchaka mchaka mpaka nasahau kushika simu
All in all nimewamiss sana esp mabwana zangu wa PM(kama naona wasionipenda wanavyosonya l.o.l)
MAMBEMBE THE UNTOUCHABLE
QUEEN OF KING BED
Cool boo,karibu tenaAnd ur real missed mother housee......tsup baby
Ukiimiss uwa inakuaje kwa upande wako,ebu tudadavulie kidogoAkhuu
Haa haa okKama asali ya kugandishwaa