Nimeingia bila hodi

Nimeingia bila hodi

Asulo

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
719
Reaction score
252
Wakuu kwanza samahanini maana nimeingia ndani bila kupitia hapa kwa kukabidhi kadi ya mwaliko.
Baada ya hapo nawaomba mnipokee kwa mikono yote.
 
Karibu sana mkuu, subiri wadau waje wakupe mwongozo.
 
Nashukuru sana mkuu Katavi.
 
Karibu sana,anakuja Kennedy kusema Pita ndani!
 
Unakaribishwa Mkubwa. Soma vizuri JF RULES.
 
Back
Top Bottom