Nimeingia bila hodi !!!

MNYAKONGWA

Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8
Reaction score
4
Ndugu zangu wana JF; mabwana na bibi,wakubwa kwa wadogo.Naomba mniwie radhi kwa kuingia ndani ya JF;bila kubisha hodi wala kuwasalimia.Naamini mtachukulia nami katika udhaifu na kunisamehe ndugu katika JF sasa !!! :amen:
 
Bila ya samahani. Karibu JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…