Nimeingia cha kike nimeuziwa kitu ambacho siyo "spray". Je, ni nini hiki?

Pole.

Hiyo ni deodorant. Inapuliziwa makwapani. Kuzuia joto na harufu ya jasho.

Siyo perfume wala siyo spray. Jijengee tabia ya kusoma maelekezo. Kwa chini kabisa imeandikwa 'soft, smooth and beautiful underarms'.
Deodorant haipulizwi.😊
 
Bado lina thamani usijali, mpelekee fundi koroboi atakutengenezea taa nzuri sana(royal bedside lamp).
 
Anajikuta pisi kali anapulizia spray Kwa gauni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe ni wa kiume ndio maana ukaingia cha kike,ila sasa unavaaje gauni?weka kapicha hebu tukuone ukipaka kwenye kikwapa.
 
Ni vyema kama ulibahatika kufika shule uwe unasoma maelezo mwenyewe,hata dawa na vingine na muhimu kuangalia expired date kila ununuapo bidhaa

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu!! Umezoea deodorant za elf5 tu eti??
Kuna za kiduara
Stick
Na spray.. mostly nimeona ni za Nivea, kopo jeupe na blue.
Kazoea lambisha kwapa.

Tulikuwa tunaziita hivyo. Kile kiduara kama ulimi, kwapa linalamba.

Ahsante!.
 
Soma maelezo vizuri, kipindi nipo O level yalinikuta hayo, sema kwa kuwa shati lilikuwa jeupe ikawa sio kesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…