Nimeingia choo cha kike ...........! (4)

Embu rudi wewe,mavikao gani hayo muda wa kazi umeisha au ndo mpo mnajadili,
 
boss acha mzaa bwana sisi tunapata burudani wewe unareta poz? mliza uende kwenye kikao chako bwana....
 
Hahahahaha wadau mmenifurahisha kweli.
Story imenisisimua sana HP, njoo basi!
 
Hawa wenye majina ya akina 'enjo'.ok m naona tuanze na uchambuzi wa fani kisha maudhui,na tukikukubali tuangalie uwezekano wa kwenda kwa Shigongo au w wanaonaje!
 
mhhh we nawe cha kuwarusha wenzako roho ni nin jaman? njoo basi umalizie dia jaman
 
Mmmh! Kweli kuna watu mnajua kuteka akili zetu! Big up.
 
HP Sikuamini kuwa nia yako ilikuwa ni kutuacha solemba namna hii.Binafsi nimeshindwa kujifunza chochote kuhusu kisa hiki
 

You are such an amazing writer! Keep it up pal!
 
HP Sikuamini kuwa nia yako ilikuwa ni kutuacha solemba namna hii.Binafsi nimeshindwa kujifunza chochote kuhusu kisa hiki

Usiwe na haraka, kuwa mvumilivu. Season 5 inaweza jibu maswali yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…