spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Kwa hiyoo unamaanisha intelligence ni choo cha kike, wanaoingia ni wanawake...😀😀😀 yaani wewe umeingia choo cha kike kule ni deep sana
Kwanza nami nikajarbu kwa Mara ya kwanza
Utapasuka kichwa mkuu, usiguse kule
npo uku kwenye ambapo ubongo wangu unaweza kuprocessNimekutafuta kumbe umejificha huku....
sure chief watu wanaongea kuacha mwil uko si kufaSio kwa kila mtu kule.We endelea na uzi wa kula tunda kwa masihara
wasomi wachwara hapatufai kule kuna watu wanamjua had israel mtoa roho
itakua ulishakasirika[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimetoka kusoma Uzi mmoja unahusu hasira, hata sijaelewa...mambo yapo indeep sana
nlijua mm tu ndo nna low IQ[emoji23][emoji23][emoji23]Utapasuka kichwa mkuu, usiguse kule
Usitake kuniambia hufahamu namna ya kutafsiri misemo ya kiswahili.Kwa hiyoo unamaanisha intelligence ni choo cha kike, wanaoingia ni wanawake...
Wakuu leo nilijichanganya nikaingia Intelligence wamenipa nondo za kuuacha mwili nimezidiwa na somo bora tuendelee na mada zetu za Lisa Ann na Mia khalifa
Sent using Jamii Forums mobile app