NJOGHOMILE
JF-Expert Member
- Jun 11, 2017
- 694
- 1,942
Habarini wote wadau wa jukwaa hili,
Ni matumaini yangu mtanipa ushirikiano vizuri katika hii media na kuvuna vilivyomo ndani kwa manufaa yetu sote.
Ahsanteni sana.
Shukrani sana PerpendicularKaribu mkuu
Jinsia ni confidential bana,samahani mkuu,hujasema kama wewe ni me au ke....halafu jina lako linaendana na koromije
Haina shida mkuu.Shukrani sana Perpendicular
Ahsante sanaNafac ya me humu imeisha
Otherwise kama ww n ke
Karbu sana kinywaj gani
Unatumia ukate kiu
Ahsante sana ISLETS of langerhansKaribu
Shukrani sana CompactKaribu sana Mkuu. Hii ndiyo JF.
Jifunze kuheshimu mawazo ya GT na Mabashite waliojaa humu. Huu ni mtaa mtandaoni.
Karibu tena.
Shukrani sana alibakariKaribu sana
Karibu mkuu njoghomile daa kidogo niandike njugumawe karibu sanaAhsante sana ISLETS of langerhans
Ahsante sanaKaribu mkuu njoghomile daa kidogo niandike njugumawe karibu sana
naona biology haikukupita kushotoAhsante sana ISLETS of langerhans
Hicho ndio chakula changu cha ubongonaona biology haikukupita kushoto