Nimeingia JF mwaka 2016 bila kufundishwa na mtu

Nimeingia JF mwaka 2016 bila kufundishwa na mtu

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,601
Reaction score
1,172
Dah ukiwa na natural common sense raha sana kwa wale walio kama mimi hongereni kama we ulielekezwa namba ya registration uko vizuri mwamba
 
Hata mimi nilikuwa jamii forum tokea 2016..kama guest nikaamua kujoin 2018 nadhan
 
Back
Top Bottom