Nimeingia JF

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2008
Posts
5,404
Reaction score
239
Hello wanaJF wote. Nami nimeingia na nina hasira kidogo kwa wale wote wanaoididimiza nchi hii. Kwa hivyo nitakuwa sina mchezo hata kidogo -- naomba ushirikiano. hasa nawataka wale wanafiki -- watetezi wa mafisadi -- kaeni chonjo!
 
Nami nimeingia na nina hasira kidogo
Karibu sana JF, inaonekana una hasira sana, punguza hasira.
 
Kwa hivyo nitakuwa sina mchezo hata kidogo -- naomba ushirikiano. hasa nawataka wale wanafiki -- watetezi wa mafisadi -- kaeni chonjo!

Karibu sana Kafaribangi,eeh inaonekana umepandisha mori sana,kabla ya kuanza kuwashambulia hao unaodai ni watetezi wa mafisadi,soma sheria za JF zina semaje usije jikuta una angukia lupango bure.
 
Hello wanaJF wote. Nami nimeingia na nina hasira kidogo kwa wale wote wanaoididimiza nchi hii. Kwa hivyo nitakuwa sina mchezo hata kidogo -- naomba ushirikiano. hasa nawataka wale wanafiki -- watetezi wa mafisadi -- kaeni chonjo!

Karibu sana ndani ya JF
 
Hello wanaJF wote. Nami nimeingia na nina hasira kidogo kwa wale wote wanaoididimiza nchi hii. Kwa hivyo nitakuwa sina mchezo hata kidogo -- naomba ushirikiano. hasa nawataka wale wanafiki -- watetezi wa mafisadi -- kaeni chonjo!

hehehehe taratibu ndugu yangu mambo mazuri hayataki haraka, hebu punguza hasira kidogo.

karibu sana JF
 
Karibu sana. Ila michango ya kibangi bangi huku hatuitaki. Otherwise karibu mkulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…