Nilikua na demu wa kilokole namuwinda kademu ni kazuri tu kusema ukweli kana mguu wa wa bia, sura ni 85% amazing, sauti, pia ni brown skin girl... Ofcuz bdo kabikira kale kapo Seald kbsaaa
Ila sasa tng nianze kumvutia kunako demu ananizungusha round km ringi lá baiskel lisilokua na mwanzo wala mwsho jmn
Nikiomba tukutane ananiambia pá kukutana mm na yy lbd kanisani kwao jumapili au ijumaa na sio kwngne, mwamba nimetumia njia zte ila Hola patupu
Kuna muda nampotezea ila kanajishtukia na kunitafuta then ataanza kujibebisha hpo wee,
Kuna siku sielew nadhani alipandwa na nyege ghafla na zilimzidia aisee hd nilishtuka kuwa vp siku ilê ilikuaje [emoji23][emoji23] akanipigia cmu mara ooh uko wp nataka nije kwako nikasema njoo na nauli nkatuma
Nmekaa wee namsubiri bht mby au nzr ilikua ni jioni alafu yy bdo alikua anakaa kwao ghfla tena kakatuma text tena mara ooh my dear leo cwez kuja naona muda umeenda...
dah kijana nikaona huyu binti karud tena kulekule kwa mwanzo binafc nikaona ananichosha tu kila cku nabembeleza km namuomba ukoo bora nmpotezee tu mazmaa
Jpo kila nikiwaza na kwa kumsoma kisaikolojia nmegundua ni kaoga tu, hua kananiambia hakana cofidence kbsaa
Sasa sielew kinachomfanya awe hv km ni ubikira alio não ama ni ulokole alio não [emoji3578]