M mzee wa kijiwe JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 947 Reaction score 685 Jun 26, 2012 #1 alaa kumbe hakuna cha kukaribishana hapa, ngoka niingie ndani mwenyewe nianze kurusha vitu hewani, mtanikoma
alaa kumbe hakuna cha kukaribishana hapa, ngoka niingie ndani mwenyewe nianze kurusha vitu hewani, mtanikoma
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,141 Reaction score 3,838 Jun 26, 2012 #2 We mzee wa kijiwe litumie vizuri hili jukwaa la sivyo utakuta unapigwa ban si muda mrefu maana naona umeingia kwa mzuka sana waulize wenzio kwanza au kama wewe ni mwenyeji ila umeaamua kuja na id nyingine kuwa mstaarabu basi
We mzee wa kijiwe litumie vizuri hili jukwaa la sivyo utakuta unapigwa ban si muda mrefu maana naona umeingia kwa mzuka sana waulize wenzio kwanza au kama wewe ni mwenyeji ila umeaamua kuja na id nyingine kuwa mstaarabu basi
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Jun 27, 2012 #3 Karibu sana JF mkuu.
asrams JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 4,798 Reaction score 2,652 Jun 27, 2012 #4 Hahaha very soon atakaribishwa na ban Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 8,659 Reaction score 2,227 Jun 28, 2012 #5 Karibu JF.
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Jul 3, 2012 #6 Pita ndani.