Nimeingia Mlenga Shabaha: hasira nilizopata kutoka kwa msanii huyu anayejifikiria ndiyo rais wetu jinsi anavyo-deal na wafanyakazi masikini wa nchi hii imenifanya nijiunge na JF ili niwe natoa dukuduku zangu.
Sote wana-JF tusaidiane katika kutoa hoja ili tuikomboe nchi yetu. Naahidi nitawalenga shabaha mafisadi wote watokomee mbali!