Asiliatz
Member
- Aug 16, 2018
- 96
- 131
Heri ya mwaka mpya wapendwa,
Leo tarehe 1 january 2020 nimefanya kitu ambacho sikuwahi kufanya miaka ya nyuma, naamini hii ndo maana ya mwaka mpya na mambo mapya[emoji23].
Leo wakati naperuzi simu yangu asubuhi kabla hata sijatoka kitandani, nikapata wazo, ngoja nitafute rafiki wakichina mwaka huu.
Basi kwakua nafahamu baadhi ya mitandao yao yakijamii na najua kwamba mitandao maarufu kama youtube,google,facebook na whatsapp vimepigwa ban China.
Nika search mtandao mmoja unaitwa weibo .cn ni mtandao wakijamii kama jamiiforums/facebook.
Nilijua nitachoenda kukutana nacho, nahisi hata wewe ungejua unaenda kukutana na nini mbele ya macho yako? ni maandishi yakichina tu.
Ghafla ika pop up app ambayo nimeinstall na napenda sana kuitumia, app ya google translator, ipo play store.
Ikanambia unaweza kutafsiri ukarasa huu kwa kiswahili, ni kaclick kiswahili, maandishi yakabadirika na kuwa kiswahili.
Ndio kama umeshawahi kutumia translator sio perfect sana kitafsiri kulingana na uandishi wa watu tofauti tofauti.
Lakini nime enjoy kusoma baadhi ya mijadala iliyokuwa ikieleweka na nimefurahi walau kiu yangu yakujua zaidi utamaduni na fikra za wachina bila kufika china utatimia kidogokidogo.
Mjadala nilioufurahia ni mmoja kwenye picha hapo chini kuhusu " nikwasababu gani unatumia Iphone?"
Mwaka mpya na mambo mapya, mapya kwangu lakini sio lazima yawe mapya kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app