kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,965
Samsung mkuu kwa ajili ya picha
Pub pale nikifika nafanyaje mi mgeni broZunguka sehemu za starehe kama bar,pub,hotels, utapata wadau.
Kwani zile picha za kuweka Kwny album bado zipogo?Zunguka sehemu za starehe kama bar,pub,hotels, utapata wadau.
NdioKwani zile picha za kuweka Kwny album bado zipogo?
Ukiingia ongea na dj au kama kuna Mc anatangaza Iringa,Njombe na Mbeya kwa mishe hiyo itakulipa muhimu kuwa mchangamfu na kuzoeana na watu kesho pia usisahau kwenda makanisani utapata wadau.Pub pale nikifika nafanyaje mi mgeni bro
Duh pamojaUkiingia ongea na dj au kama kuna Mc anatangaza Iringa,Njombe na Mbeya kwa mishe hiyo itakulipa muhimu kuwa mchangamfu na kuzoeana na watu kesho pia usisahau kwenda makanisani utapata wadau.
Ashindwe mwenyeweTena saivi mahafari Kwa sana
Skiliza bbu sasa hv ni wakati wa magraduation jaribu kuulizia conection wapi kuna graduu utapiga pesa kimtindo usikae kizembe yaan hata kama mty hatak kupga picha ww simama kwa pemben mpge afu muonenyeshe zile pic kaliii lazma atashawishika tu mwanangu mjini akili au weekend tembelea beach kuna raia kibaoDuh pamoja
Tutaongea kesho kutwa mkuu subiriWakuu hivi hapa iringa mjini ukiwa na camera unanza vipi harakati? Kwa wageni? I mean connection
Iringa kuna bahari?Weekend tembelea ufukweni mwa bahari utapata hela ya kutosha hakikisha uwe na card leader, usb cable na OTG
We waambie utarudi kesho kutwa mkuuPub pale nikifika nafanyaje mi mgeni bro
Beach iringa,au sioooSkiliza bbu sasa hv ni wakati wa magraduation jaribu kuulizia conection wapi kuna graduu utapiga pesa kimtindo usikae kizembe yaan hata kama mty hatak kupga picha ww simama kwa pemben mpge afu muonenyeshe zile pic kaliii lazma atashawishika tu mwanangu mjini akili au weekend tembelea beach kuna raia kibao
Wewe utakua mgumu kuelewaKwa jinsi usivyojua kujielezea vizuri, nawaza hiyo Kazi namna utakavyokuwa unaifanya. MUNGU akusaidie tu- tuna vijana wa Hovyo sana hii Nchi.