kofia ya plastiki
JF-Expert Member
- Jun 9, 2019
- 416
- 405
Mchana mwema, wakuu inakuaje nimeingiziwa dolar 206 lakini nimeenda kwa Bank teller anadai bado hazija be exchanged into Tanzania shilling?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je wamekuambia usubirie kwa muda gani?anadai bado hazija be exchanged into Tanzania shilling?
Nimeingiziwa Leo mkuuJe wamekuambia usubirie kwa muda gani?
Je lini umeingiziwa hiyo fedha?
- My Take-
Kwa Fedha toka nje ya nchi, baadhi ya benki huiachia kwenye account husika ndani ya saa 24 hadi 48, na benki zingine hadi saa 72 ( Siku 3 ), hii ni kwa benki ambazo nimewahi kuzitumia. Bado sijawatumia CRDB
wamekwambia ungoje kwa muda gani?Nimeingiziwa Leo mkuu
Mkuu nimeingiziwa tu sijaambiwa kwa mda ganiwamekwambia ungoje kwa muda gani?
Nadhani mwl hapo kafafanua vyema.
Vuta subira, Angalau yapite masaa 24, kama haijasoma kwenye account yako basi nenda kaulize na utasaidiwa.Nimeingiziwa Leo mkuu
Vip kwa maelezo ya bank teller kua kujibadili kua mfumo wa T shilling ni baada ya masaa kidogo au hua inafanyika nini ili iwe t shilling?Vuta subira, Angalau yapite masaa 24, kama haijasoma kwenye account yako basi nenda kaulize na utasaidiwa.
Mkuu nielekeze Western Union inakuajeMbona western union wako faster,inamaana bank ziko slow
Typing error mkuu ndio maana nimetoa na screen shotKwenye heading umeangiziwa dola 206,ila kwenye maelezo umeingiziwa dola 205.
BTW, kama hizo fedha zimeingizwa kwa electronic wire transfer, itachukua sio chini ya saa 24 kwa wewe kuweza kuzichukua.
Be patient.
Nimekuelewa boss, be patientTyping error mkuu ndio maana nimetoa na screen shot
Western Union is the bestAisee nasubiri 1.2m kutoka ughaibuni sitaki kabisa kuskia hii habari, kwani hata Money Gram wana huu mchezo au ikiingia nitaichukua tu direct wakuu...?
Mzigo nautarajia kesho nipeni info ili nijue njia gani ya kutumiwa huo mkwanja ambayo haitakuwa na usumbufu wakuu.
Natanguliza shukran zangu za dhati kabisa kwenu wakuu. Thanks.
Huhitaji kuweka account number yako na majina halisi. Dunia imebadilika sana aisee. Iondoe hiyo screen shot.
Mkuu, endapo mtu atajua account yangu na akapata password, bila kuwa na atm card, je anaweza kufanya uhalifu? Na kwa namna gan/?
Naomba mwongozo