Nimeingiziwa dollars 206 nimeenda bank naambiwa bado hazijajibadili

kofia ya plastiki

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2019
Posts
416
Reaction score
405
Mchana mwema, wakuu inakuaje nimeingiziwa dolar 206 lakini nimeenda kwa Bank teller anadai bado hazija be exchanged into Tanzania shilling?
 
anadai bado hazija be exchanged into Tanzania shilling?
Je wamekuambia usubirie kwa muda gani?

Je lini umeingiziwa hiyo fedha?


- My Take-
Kwa Fedha toka nje ya nchi, baadhi ya benki huiachia kwenye account husika ndani ya saa 24 hadi 48, na benki zingine hadi saa 72 ( Siku 3 ), hii ni kwa benki ambazo nimewahi kuzitumia. Bado sijawatumia CRDB
 
Nimeingiziwa Leo mkuu
 
Mbona western union wako faster,inamaana bank ziko slow
 
Kwenye heading umeangiziwa dola 206,ila kwenye maelezo umeingiziwa dola 205.


BTW, kama hizo fedha zimeingizwa kwa wire transfer, itachukua sio chini ya saa 24 kwa wewe kuweza kuzichukua.

Be patient.
 
Kwenye heading umeangiziwa dola 206,ila kwenye maelezo umeingiziwa dola 205.


BTW, kama hizo fedha zimeingizwa kwa electronic wire transfer, itachukua sio chini ya saa 24 kwa wewe kuweza kuzichukua.

Be patient.
Typing error mkuu ndio maana nimetoa na screen shot
 
Bro Hamisi huwa ni kawaida, pesa ikiingia huwa inaingia 'habari' tu kwanza ila mpunga wenyewe baada ya siku 2 au 3 kutegemeana na bank. Kuwa mpole tu kwa sasa.
 
Aisee nasubiri 1.2m kutoka ughaibuni sitaki kabisa kuskia hii habari, kwani hata Money Gram wana huu mchezo au ikiingia nitaichukua tu direct wakuu...?

Mzigo nautarajia kesho nipeni info ili nijue njia gani ya kutumiwa huo mkwanja ambayo haitakuwa na usumbufu wakuu.

Natanguliza shukran zangu za dhati kabisa kwenu wakuu. Thanks.
 
Western Union is the best
 
Mkuu, endapo mtu atajua account yangu na akapata password, bila kuwa na atm card, je anaweza kufanya uhalifu? Na kwa namna gan/?
Naomba mwongozo

Yap. Unapigwa vizuri tu. Siku hizi kuna inside jobs kibao. Tena siku hizi unaweza kutoa fedha kutoka kwenye ATM bila kadi. Unatumia simu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…