Nimeiona fursa, mwenye mtaji aitumie...

tizo1

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
856
Reaction score
145
WAKUU HABARINI ZA WAKATI.MIMI NIPO MKOANI TABORA KIMAISHA WAKATI HUU.MPAKA SASA UPATIKANAJI WA KOMPUTER USED,NA VIFAA VYA COMPUTER KWA UJUMLA NI KAZI NGUMU SANA,LICHA YA KUWEPO KWA WATEJA WENGI.CPU YA 40 GB,RAM 512,PENTIUM 4.PROCESSOR 2.8 na kioo flat 15''-17'' kwa tabora bei kianzio ni laki tatu na hamsini mpaka laki tatu na thelathini.hii ni fulsa jamani.kwa sasa sina uwezo wa kuifanya ila sio vibaya nanyi wengine mkajua fulsa hii.karibuni tabora
 
Mkuu Ungeweka sawa ulivyotathimini hilo soko la hzo computer ili mtu ajue pa kuanzia,je mahitaji makubwa ni ya mtu mmoja mmoja au kuna wateja wakubwa wa kuwasupply?
 
Mkuu Ungeweka sawa ulivyotathimini hilo soko la hzo computer ili mtu ajue pa kuanzia,je mahitaji makubwa ni ya mtu mmoja mmoja au kuna wateja wakubwa wa kuwasupply?

kwel unaweza enda kupeleka bidhaa kumbe soko hakuna
 
umetathmini kwa makini?? manake tunaweza leta mzigo ,kumbe jama hawana ishu....aidha wanataka kwa bei ya chini zaidi au ni miyeyusho tu
 
umetathmini kwa makini?? manake tunaweza leta mzigo ,kumbe jama hawana ishu....aidha wanataka kwa bei ya chini zaidi au ni miyeyusho tu
Mimi nadhani muanzisha mada amefanya vema. Kwa mtu ambaye yuko serious kuwekeza, anaweza kuanza immediately kufuatilia na kupata majibu ili ajitose. Big up tizo1 haya ndo mambo tunayotegemea kutoka kwa watanzania wenzetu.
 
.soko ni zuri..watu weng wanahitaji computer.mpaka sasa internet cafe kwa saa 1 ni 2000 mkoani tabora.jamani fulsa ipo......
 
http://www.naturalhealthandbeauty.flppro.biz/ Both poverty and riches are the offspring of thought."
- Napoleon Hill
change your thought, believe on your self and take a step to success. go through the link above and fill out the forms we will get back to you and explain how you can control your financial position
 
Kwa nini wewe usiifanya? Tatizo nini? Muda? Mtaji? Wateja?.....???!
 
Kwa nini wewe usiifanya? Tatizo nini? Muda? Mtaji? Wateja?.....???!
Amesema hana uwezo, unataka nini zaidi? fanyia kazi taarifa yake siyo hali yake
 
Waswahili bwana. Umepewa tip, what else do you want? Spoon feeding, afu umezewe na kutafuniwa?
 
Ukiona mtu anapiga longo longo nyingi ujue sio mjasiriamali. Huhitaji kutafuniwa kila kitu kuhusu business opportunity if you are really serious to grasp that opportunity. After all some opportunities need personal assessment, go and assess yourself.
 
tatizo mtaji ndugu!
tizo1,
Ngoja nikupe tip. Tafuta mtu mwenye mtaji uwe unamtafutia wateja unapata comission and finally mnaweza ku merge as business patners!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…