Nimeiona hii kwenye goup moja la whatsap nimecheka sana

immasakha

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
489
Reaction score
281
[emoji175] NAIRUDIA HII KWAAJILI YAKO WEWE! [emoji175]

[emoji673]Wewe ambaye miaka mi5 ya uchumba,
ushamfunuafunua mtoto wa watu kama Sufuria la Pilau msibani,

[emoji673]Unamjua mwili wake kama unavyojua mabeti ya wimbo wa Taifa,

[emoji673]mtoto wa watu amewakataa wanaume kibao
Amepoteza muda wake kwaajili yako
Amekuamini wewe
Ametulia anajua ndoa inafuata hivi karibuni halafu wewe ghafla tu unakuja kumzingua na kutangaza ndoa na mtu mwingine.

[emoji673]Akikuuliza sababu ya
kumuacha yeye
unasema siwezi kuoa
Mwanamke hajui kukatika
kitandani
nataka kuoa fundi wa
kumiliki kitanda, Ulimfundisha??

[emoji673]Kwani unaoa mke wa
kujenga nae Familia au
unaoa mke wa kwenda
kufungua
bendi ya kukata viuno??

[emoji673]Maana kama nia yako ni kupata
mke anayekatika basi ungeenda
kuoa Wanenguaji kwenye
bendi ya
Akudo Impact.

[emoji673]Mnaumiza watoto wa watu
kibwegebwege na sababu za
kijinga,
Kwani utakula kiuno
all ur life?
Au mtajenga uchumi wa familia kwa kukatika kitandani??

[emoji673]Acha kucheza na hisia za wanawake wewe.
Ninajali

[emoji175] Nimetupa jiwe nikizani kama limekukuta popote upo [emoji175]
 
Yaani mm siwez kuoa gogo hata kwa bunduki, kitu kukatika kweli. BTW nsombeni namba za wale madensa kwenye Nasema nao ya Diamond.
 
Nitafutieni mmoja kutoka kwa Snura walicheza wimbo wa Chura Anaruka ruka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…