Nimeipenda harusi hii kwa kweli

Nimeipenda harusi hii kwa kweli

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
image001.jpg


image002.jpg


image003.jpg
 
Kaka picha ya mjomba unaionesha bila rishaa yake? hahhaha ndo mazingira yetu hayo
 
Hivi bwana harusi hawezi kupata mfadhai ............................iiiiiiiiiiiiiiiiiiiko????

Hapo inabidi kuimba kwa kikwetu "Kadete, ka nhwani. Wakukaputa, kwize kumuone..." Hebu ELNINO saidia maana yake ni nini huo wimbo wa Ki-Marekani.
 
hivi wee Ubungo ubungo ni kweli umeokoka?😛ainkiller:
 
Hizi picha kujirudia hili jukwaa sasa imekuwa too much!!!!
 
Hao mboni wapo smart kihivyo??

Mimi niliipenda hii! Bi harusi ni huyo mrembo kushoto kwa mzee mwenyewe!!!

1.JPG
 
Huu upendeleo mbona bibi harusi kavaa kitenge ili hali bwana harusi kavaa suti huko kwenu Ray B kunahitaji seminar, alafu bwana harusi anenda kuchunga ngome au anaenda kwenye sherehe, kazi kweli kweli.
 
ndio ali alisi iyo wandugu la msingi ni ndoa ifungwe na ishafungwa
ila jamaa ajatuambia ni wapi
 
Kama nimeangalia vizuri naona Bwana harusi kavaa Raba.....
Dah nimeipenda sana hiyo.
Juu suti, Chini Raba, Mkononi fimbo..... Utaitaka.....! Ukileta mawenge mkong'oto fimbo zipo, ukichomoka tu tuna wewe, si tuna Raba? Ukitulia tunashereheka si tuna suti.
Patamu hapo, lazima ukae sawa
 
Back
Top Bottom