Ni official.Ni official au watu wanataka wapige details zetu
😂😂 Vp mkuu unaendeleaje.?Mmhh ngoja niifute mm utani kwenye hela huwaga sipendi
en watu pia walkuwa wanasema huwez kupokea pesa kutoka nje ya nchi na kutuma but jana nmeongea nao CRDB wamenambia ukisha ji register for online transactions unaweza fanya yote je kuna ukwel wowote juu ya hili??