Tanzania Football Federation
Kwa kweli nimevutiwa na tovuti ya TFF ilivyo sasa hivi mara ya mwisho kuitembelea ilikuwa haivutii kabisa hivyo niliachana nayo, lakini leo nimeipitia inavutia.
Ushauri mdogo waweke section ya livescores ya mechi za ligi zote zinazokuwa zinachezwa siku husika kwa kweli watapata watemebeleaji wengi sana.
Tanzania Football Federation
Wangeongezea na Premier League Table
Premier League Table mbona ipo---pale juu kwenye menu nenda kwenye Premier League(yaani peleka cursor) pale itafunguka drop down menu na utaona
au cklick hapa chini (lakini bado naona hawaja update)
Vodacom Premier League 2010/2011