Kaka kikubwa ni kuondokana na mazingaombwe ya CCM na kukubali kuvaa akili mpya ya kimapinduzi zaidi na sio ya kubahatisha bahatisha, ni kuwahurumia hao, usiwaombee, utawaombea kwa nani? mtu kazaliwa anaijua ccm, katolewa mahari na ccm,! kazi tunayo tena kubwa!