Nimeishi nje, nataka kuoa Tz, nitapataje wife material???

Sumba-Wanga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
5,353
Reaction score
1,234
NImepewa hii scenario na kaka yangu. Amekuwu nje ya nchi tangia 1996. aliondoka akiwa kijana mdogo hadi sasa ana 40's. Katika kipindi hicho, ladies friends zake wote wameolewa. rafiki zake wa kiume wote wameoa. wadogo zake wamoea. Akiwa USA kwa muda wote huo, amejaribu kuoa foreigners ma hata watz ameshindwa. Rafiki zake waliooa nje wamekuwa mfano mbaya kwake. Ndugu na jamaa zake wameanza kumuuliza maswali mengi kulikoni? yeye anasema ni mzima . Angenda sana kuona Tanzania lakini ana wasi wasi kuwa atapataje mwanamke mwenye tabia nzuri, a wife material wakati yeye hakai hapa na kila akija anakaa mwezi na kuondoka? Anaogopa sana kutafutiwa mwanamke, maana ameona mifano ya watu waliotafutiwa wachumba na matokeo yake. Yuko kwenye cross roads. Hajui aanzie wapi? Wana JF, naomba tumpe ushauri! Please this is serious and we should stop jokes/ kejeri.
 
I thwea mie ni wife material, husband material na kid material
Naupendo kama Texas
 
Ina maana huko Marekani hakuna watanzania wanaenda kusoma au kuishi ambao ni wife materials?hii inanipa shida kuaamini.Nadhani kaka yako hajajichanganya au hajafungua macho kuona kile kinamfaa.
 
Yeye mwenyewe ni Husband Material? Akienda Mwanza atakutana na cotton material, Tanga naUfundi MATERIAL, Mbeya na Hiv & aids material, .........................ooops Sumbawanga na Wanga Material, Arusha na Lema material, Kigoma na wese material, Shinyanga na Red Eyes materials......the list goes on and on
 
Aweke X kwenye kuoa au arudi nyumbani atafute mke hadi atakapo mpata.
 
Mwambie aje huku viunga vya Jambiani Zanzibaaaa....
 
Mwambie amtumie fedha Ngongo atamtafutia faster hakuna kazi za bure muzee.
 
Ina maana huko Marekani hakuna watanzania wanaenda kusoma au kuishi ambao ni wife materials?hii inanipa shida kuaamini.Nadhani kaka yako hajajichanganya au hajafungua macho kuona kile kinamfaa.

Aansema wapo wengi, amejaribu na ameshindwa. Wengi wanaokwenda kusoma kule wanakuwa na wachumba tayari, ndio maana amekwama.
 
Hizi tabia za kutumia mathird part hapa JF tabia hii itaisha lini? kwani kaka yako hajui kutumia internet?
Kuhusu wife materials anaemfaa nadhani ni cabin clew, maana muwe akiwa New york mama yupo London, hiyo itakuwa imetulia.
 

umenivunja mbavu.
 
Hana hata wa kusingiziwa. His past lovers in Tanzania are either married or dead (too sad)!!

mbona kashakuwa babu sasa! Mi wife material ila atanifataki. Lol.
 
Mwambie aingie humu; atapata rafiki kwanza, then mchumba na mke ilimradi tu naye awe husband material... asilete usharoUS tu!
 
unaposema anajaribu anashindwa unamaanisha nini? hapati mke au ndo anaoa na kuacha?

kama tatizo ni kukaa tanzania muda mfupi, aje akae muda mrefu atapata tu mke. suala la jogoo anawika au hawiki hilo haina haja ya kusema wakati huu. aje tanzania , kama kweli anania ya kuoa, atapata sababu ya kukaa tanzania miezi miwili. ninauhakika akirudi huko atakuwa amepata mchumba. kadiri anavyozidi kujionyesha kuwa yeye yupo bize , ndovyo atakavyo kimbiwa na wanawake.ni nani angependa kufanya maisha na mtu ambaye hata kwenye kutafuta huyo mchumba hana nafasi, je ktk ndoa itakuaje?
 
Okada, hebu mwambie anitumie tiketi na pesa za visa fasta kabla wengine hawajaniwahi! Lol

Mwambie mke mwema anapatikana ili mradi amuombe MUNGU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…