Nimeishi nje, nataka kuoa Tz, nitapataje wife material???

Aweke X kwenye kuoa au arudi nyumbani atafute mke hadi atakapo mpata.

You are making a point. sasa akija huku na kukaa muda mrefu kutafuta mke (tuseme mwaka) sasa na kule kibarua si kitaota majani? Huu kweli ni mtihani
 
Hizi tabia za kutumia mathird part hapa JF tabia hii itaisha lini? kwani kaka yako hajui kutumia internet?
Kuhusu wife materials anaemfaa nadhani ni cabin clew, maana muwe akiwa New york mama yupo London, hiyo itakuwa imetulia.

Anajua sana kutumia internet. He is seeking for advice from the Great thinkers. What should he do with the internet? Contacting Wema, Auntie ezekiel or .....
Nijuze tafadhali.
 
Hizi tabia za kutumia mathird part hapa JF tabia hii itaisha lini? kwani kaka yako hajui kutumia internet?
Kuhusu wife materials anaemfaa nadhani ni cabin clew, maana muwe akiwa New york mama yupo London, hiyo itakuwa imetulia.

He is not a member of JF
 
Mwambie aingie humu; atapata rafiki kwanza, then mchumba na mke ilimradi tu naye awe husband material... asilete usharoUS tu!

Good advice, noted and will be delivered! I am sure in few days he wil introduce himself!
 


Thank you very much my bro/sister???? Point taken
 
Okada, hebu mwambie anitumie tiketi na pesa za visa fasta kabla wengine hawajaniwahi! Lol

Mwambie mke mwema anapatikana ili mradi amuombe MUNGU.

Thank you! But which is which? Nipeleke la kwanza au la pili?
 

Yeye ni zaidi ya Mende! Kutafutiwa ni kuwa yeye apelekewe US. Lakini kama ni kuja Tz na kuwa hooked na a lady, I think that is a good idea and he will support it.
 
Nenda kwenye makanisa ya walokole kule kuna wadada weengii wamekimbilia huko kuombewa kupata wachumba kuna walioahidiwa kupata wachumba so mcheki tu Nabii atakuunganisha na utakayempenda:lol:

Mmh kwa walokole, atakutana na watu kama yeye walio desparate! Sasa atamweza mlokole kweli? US na kushinda kanisani wapi na wapi?
 
Amavubi umenivunja mbavu! Acheni utani jamani mwenzenu anamtafutia kaka mke.....kuna mshkaji ana tatizo kama hili kabisaa na age ni hiyo2 na yuko US sasa duuuh imenishtua kidogo isije ikawa yeye.

Thank you kwa kunipa Shavu?

May be tunazungumzia mtu huyo huyo. hebu nipe initials zake za majina yake, nione kama ni yeye au?
 

Asante kwa kunijuza. Ndio maana kwenye makanisa ya walokole idadai kubwa sana ya waumini ni wanawake (utafiti wa juu juu))
 
Good advice, noted and will be delivered! I am sure in few days he wil introduce himself!

Ila akijiunga asimention anything about you. Ataxiangamkiwa na pseudo wife material. LOL

But seriously akianza kujitambulisha kama mbeba mabox ataingizwa mkenge!
 

Do, hiyo kali,. itabidi nimwambie brother aanze kutembea na BIBLIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…