Nimeishi nje, nataka kuoa Tz, nitapataje wife material???

afu kuna wale wanaooa afu baada ya miaka kadhaa wanafiwa na wake zao. Wanawaleta Africa wakiwa wamewabebesha nani nanii dah!

No, he is not a drug dealer jamani! Ushindwe!
 
dah I wish age yake ingekua kuanzia 30 and below

Ingekuwaje? si huwa tunasema age is just numbers?

Na mwenye age hiyo asingekuwa na wasi wasi, bado angejirusha tu huko US, maana Xmas bado!
 
Thank you, very good advise!
 
Mke mzuri na mtamu ni yule uliemtongoza mwenyewe, ukamchumbia mwenyewe. Wa kutafutiwa hanogi kabisaaa. Mwambie aje achakarike mwenyewe

Nimecheka sana. Lakini ni ushauri mzuri sana na umesema kweli. Nadhani huku kukaa nje mwa muda mrefu bila kuwa na mwenzako ni shida kubwa sana
 
Nimecheka sana. Lakini ni ushauri mzuri sana na umesema kweli. Nadhani huku kukaa nje mwa muda mrefu bila kuwa na mwenzako ni shida kubwa sana

Okada; wewe umeoa? Isije ikawa ni wewe mwenyewe the way unavyomdefend looks like unamjua sana!
 
Thank you brother. You have real show the real picture and a dilema facing my brother. Na yeye anasema hivyo hivyo kama wewe, wanawake wapo, wengi tu, lakini, ni balaa. amejaribu ameshindwa., Hata yeye ana papers kabisa, lakini mmmmhh????

Nadhani wana JF watalielewa tatizo hili kwa undani sasa
 
Mwambie kaka aweke tangazo kwenye ze gadian, deilnyuz na ze sitizen kua anataka wife matirio.
Ataje sifa anazotaka,
then watu wafanye intavyuu apatikane wife matirio.
Ila akubali matokeo.

Hayo matokeao ndio anayoyaogopa, ndio maana ameomba ushauri kwenye jamvi!
 
Amen; point taken, will Pm soon
 
I am married to a JF member and we have two beautiful daughters.

Okay; now that the doubt is cleared, l might be able to hook him with a friend of mine, PM me his email address niwainganishe watajuana wenyewe wapige story, she is 32!
 
Okay; now that the doubt is cleared, l might be able to hook him with a friend of mine, PM me his email address niwainganishe watajuana wenyewe wapige story, she is 32!

Ngoja niombe kibali chake!
 
zali hili mwambie anipm fasta pls
 
Ina maana huko Marekani hakuna watanzania wanaenda kusoma au kuishi ambao ni wife materials?hii inanipa shida kuaamini.Nadhani kaka yako hajajichanganya au hajafungua macho kuona kile kinamfaa.

ukumbi mkubwa unakupa choice za kutosha..ukumbi anaoishi ni mdogo,na kumpata mwanamke wa kuwa MKE nje ya nchi si kazi ndogo! Waulize wabeba maboksi wengine! Wanakuwa micharuko na kujifanya wabeijing kwa saana! Huyo ataendelea tu kuchelewa,labda autumie ukumbi alio nao.Asijali taifa wala rangi.
 
we acha zako, wabongo wote mbinu tu, piga ana ana do! ukichagua sana utachagua korona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…