Nimeishi nje, nataka kuoa Tz, nitapataje wife material???

Nahisi huyo kakako atakuwa ni domo zege,
Mwambie aje hapa Tanzania na akae kwa muda kumtafuta na kumchunguza mwanamke atakayemfaa kuwa mke mtarajiwa.

Sio domo zege, ni kuw ayuko mbali tu na warembo wa bongo!
 

hapo ndio kazi sasa., kama ni wife material, lakini kwa mamluki, hata kama mwanaume ana 70 ni sawa tu
 
Namshauri aache kuchagua sana mybe ndo sababu umri umeenda atafute mmoja amby atakama atakuwa asilimia mia atleast hata nusu maisha cku izi hayatabiliki wengi wanaoana kwa kutamaniana believe me sometimes inasidia wakishaishi love inakuja bila kutarajia so asikate tamaa mungu atamsaidia amwombe sana atampa tu mke mwema
 
Huyo lazima atakuwa na matatizo 40+ hajapata kuishi kote huko hata kijijini kwenu hawapo? je ana mtoto hata wa kusingiziwa? akiwa nae mwambie aniPM.
 
Hana hata wa kusingiziwa. His past lovers in Tanzania are either married or dead (too sad)!!

inaonesha kakako anadhani tz ndo anaweza kupata mke mtulivu.
ukweli ni kwamba usa na tz kuna wanawake wazuri na wabaya.
kuna maeneo fulani fulan ukiwa ndio unayapendelea lazima uibuke na vimeo,
na maeneo fulan fulan vimeo hawapendi kwenda bali wanaojiheshimu,
atulie,awe makini hata usa atapata tu,tena nijuavyo wanawake watulivu abroad wako bize kusoma au kufanya kazi,
aende kanisani anaweza kupata lkn hata huko awe makini sbb hata vicheche wanajua wanaume wanaamin wote waendao kanisani ni watulivu lkn sio wote.
 

Quuen: point taken my dear!
 
Huyo lazima atakuwa na matatizo 40+ hajapata kuishi kote huko hata kijijini kwenu hawapo? je ana mtoto hata wa kusingiziwa? akiwa nae mwambie aniPM.

Kwani jamani swala hapa ni kuwa na mtoto?
 
Okada tuwasiliane kwa pamoja tunaweza kumsaidia Brother,lakini pia kwa Tangazo hili awe makini kwa sababu yupo desperate na Mdada yeyote atakayekutana nae atavaa tabia ya muda kwa kujua kuwa jamaa anatafuta Mke.....Asiharakishe atumie muda kumjua mdada na kujua tabia zake na marafiki zake! Vicheche wapo wengi siku hizi.Huyu Kaka anafanya nini USA yupo shule au kikazi?Nitafute kwenye PM Okada.
 
AtanabaishE kama anataka WIFE wa KIKE ama wa KIUME
 
sugua goti kaka kwa akili zako hauwezi,mwombe mungu akupiganie ili umpate utakayeweza ishi nae lakini ukiangalia kwa macho na tamaa inakula kwako.nafikiri umenipata!
 
we amavubi ni wife wa kike ndo maana amekuja tanzania,ajachukulia mamtoni
 
Aansema wapo wengi, amejaribu na ameshindwa. Wengi wanaokwenda kusoma kule wanakuwa na wachumba tayari, ndio maana amekwama.
sitaki kuamini huyo Tozi ni kibisa ila anitafute niko counter kimboka bar buguruni....wapo wake kibao wanakosa mikataba ya kudumu coz wabongo wanapenda day waka....so najua jamaa ana element za dunian hopefully atafanikiwa.....tena si mtu wa kwanza kumsaidia.......amen!
 
WAna JF MMU:

nashukuru sana kwa maoni na mawzo yenu kwa kaka yangu. Uzuri thread hii imemfanya ajiunge na JF.
Nina hakika atayafanyia kazi na kuna siku nitarudi (tuombe uzima) na kusema kwamba bwana ametenda.


Asanteni sana
 
kwa ufupi kaka yako hana uwezo wa kusocialize! mwezi mmoja anaokaaga hapa angeweza kupata mbinti!au yuko too selective mwambie asije ambulia koloma.Above all mke mwema hutoka kwa Mungu amuombe MUNGU!Kwa kutania mimi na housemaid wangu anaweza kuwa wife material wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…