Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Asalaam aleykum jamiyah,
Nalazimika kuuliza na kuhoji inakuwaje mkandarasi anashindwa kutoa ushauri makini, juu ya ujenzi wa bara bara, unaorudiwa mara kwa mara na kupoteza fedha za umma kila kila wakati badala ya fedha hizo kutumika kwenye mambo mengine ya kimaendeleo? Kwanini kila wakati tui finance barabara ile ile kila mwaka?
Tujuavyo barabara lifespan should be not less than 20yrs. Mh. Bash, tumia zaidi concrete road, kuepusha kutengeneza barabara kila msimu wa mvua, ni hasara kubwa sana, au sijui ndio njia ya ulaji ilipo.
-Barabara zote ambazo ukarabati wake hujirudia kila mwaka zimulikwe, ili kuondosha matengenezo ya kila mwaka wa fedha za serekali.
-Wazo la Jumamosi.
WASALAAM.