Nimeishinda Tabia ya Kuongea sana "Talkativeness"

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
Nani alisema Tabia haina Dawa??

Kwa Miaka kadhaa nikiwa nazungumza na watu/mtu nakuwa naongea sana.. mpaka sometimes baada ya mazungumzo kuna baadhi ya mambo naanza kujilaumu kwanini hata niliyasema kwenye story.. Mfano.. Uhusiano wa Kimapenzi na mtu fulani.. Family Drama na Mengine Mengi..

Nikaja Kugundua watu wakaanza kujua weakness zangu na baadhi ya mambo ya siri kwangu kupitia stori zangu mwenyewe..

Siku ya siku Nikaja kugundua ukiwa muongeaji sana unaloose atention yako kwa watu.. hata kama una point nzuri ila ukiongea sana itaonekana Pumba tu...

Nikaibuka na tabia ya kusoma vitabu ndipo nilipogundua hutakiwi kuwa Muongeaji sana.. Kama uwezi kuwa Mkimya kuwa Moderate katika Mazungumzo.. au zungumza tu pale inapobidi na itapendeza zaidi kama kundi hilo la watu ndio likataka kusikia toka kwako sio wewe tu unakuwa Kimbelembele..

Toka ni apply hizi mbinu nimekuja kukubalika na kuheshimika sana.. wenzangu wanaeza zungumza maneno buku mimi nikasema Matano tu..

Jihadhari Usiwe Muongeaji sana..

Divine Khan!
 
Mimi nina ukinyonga grade 1. Kuna watu wanajua mimi siongeagi kabisa, na wengine wanajua mimi ni mpiga domo balaa. Kanuni ambayo huwa naitumia mara zote ni kuwa; usiruhusu mtu ajue ulivyo, mjue kwanza yeye then uone ni namna gani utaishi naye, period.
 
We jamaa ni kichwa.. Tuzidi Kujiboresha.. Hii mbinu inakupa amani ya moyo..
 
Naunga mkono andiko lako..uongeaji Wangu hutegemea na mazingira kama haujanizoea waweza hisi ni bubu
Safii saana.. Ukiwa muongeaji probability ya kudharauliwa ni kubwa sana.. Otherwise labda kama you don care..
 
Kuna jamaa yangu ni mwongeaji sana, ana story nyingi sana. Ila akikusimulia kitu leo, akakirudia baada ya hata mwaka, ni sawa sawa na alivyosimulia kipindi cha nyuma.
 
Aisee.. Ana kipaji
 
Mimi nina ukinyonga grade 1. Kuna watu wanajua mimi siongeagi kabisa, na wengine wanajua mimi ni mpiga domo balaa. Kanuni ambayo huwa naitumia mara zote ni kuwa; usiruhusu mtu ajue ulivyo, mjue kwanza yeye then uone ni namna gani utaishi naye, period.
Uko kama mimi......
 
Nani alisema Tabia haina Dawa??

Kwa Miaka kadhaa nikiwa nazungumza na watu/mtu nakuwa naongea sana.. mpaka sometimes baada ya mazungumzo kuna baadhi ya mambo naanza kujilaumu kwanini hata niliyasema kwenye story.. Mfano.. Uhusiano wa Kimapenzi na mtu fulani.. Family Drama na Mengine Mengi..

Nikaja Kugundua watu wakaanza kujua weakness zangu na baadhi ya mambo ya siri kwangu kupitia stori zangu mwenyewe..

Siku ya siku Nikaja kugundua ukiwa muongeaji sana unaloose atention yako kwa watu.. hata kama una point nzuri ila ukiongea sana itaonekana Pumba tu...

Nikaibuka na tabia ya kusoma vitabu ndipo nilipogundua hutakiwi kuwa Muongeaji sana.. Kama uwezi kuwa Mkimya kuwa Moderate katika Mazungumzo.. au zungumza tu pale inapobidi na itapendeza zaidi kama kundi hilo la watu ndio likataka kusikia toka kwako sio wewe tu unakuwa Kimbelembele..

Toka ni apply hizi mbinu nimekuja kukubalika na kuheshimika sana.. wenzangu wanaeza zungumza maneno buku mimi nikasema Matano tu..

Jihadhari Usiwe Muongeaji sana..

Divine Khan!
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom