Nimeita mmoja wamekuja wanne

Nimeita mmoja wamekuja wanne

dazu

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2011
Posts
365
Reaction score
76
Kuna hii tabia ya mabinti (hasa wa vyuo) unapomwita mmoja bar wanakuja watatu mpaka watano, halafu wakifika baada ya kuagiza vinywaji vya gharama (Redbull, Savanna, nk) hudai kwamba hawajala, wanaagiza chipsi kuku kila mmoja. Wanakula kiduchu halafu wanaacha eti wameshiba. Hii huwa inanikera sana, nani anaweza kuwa na dawa yake?
 
Dawa ya nini? kama wamekula wenyewe na wameacha...!! Tatizo lako unajifanya unazo ndo maana wamekuja kukuchuna...!! kwani lazima ulipe? Mbona Kenya hata kama ni Girlfriend wako hatoki ukimtoa out mpaka umwakikishie kua gharama zote juu yako otherwise lazima aje na mshiko wake, tatizo sisi wabongo tunapenda sifa za kijinga halafu tukuja kulalamika.
 
Acha kuita ita kwenye vichochoro.
Tulia umri ukifika nenda kwa wazazi wa binti ukaoe
Hapo utakuwa huru kutoka na mkeo wawili tu
 
Ya vichochoroni yana raha yake Shehe!
 
Kuna hii tabia ya mabinti (hasa wa vyuo) unapomwita mmoja bar wanakuja watatu mpaka watano, halafu wakifika baada ya kuagiza vinywaji vya gharama (Redbull, Savanna, nk) hudai kwamba hawajala, wanaagiza chipsi kuku kila mmoja. Wanakula kiduchu halafu wanaacha eti wameshiba. Hii huwa inanikera sana, nani anaweza kuwa na dawa yake?

Sipendi generalization (eti hasa wa vyuoni),...
anyway,unamuita bar kufanyaje?....kunywa!
unakuwa umemwambia aje mwenyewe?

Mwenzako sio mchoyo kama wewe kwanini aje peke yake?
 
kama ulimuita mmoja wakaja zaidi muudumie muhusika kisha hao wengine jikaushe japo kwa khali ya kawaida ni ngumu mpaka na wewe uwe mgumu:bored:
 
Kwanini tu
usitafute girlfriend
Ambaye utakuwa unatoka
naye out na anakutimizia mahitaji mengine?

Maana wajua
hao ni wanafunzi
Of coz hawana fedha nyingi
Za kunirusha u ategemea watakuachia kweli?..

Na hiyo
Ya kuja na
Marafiki zAke
1. Anadhani hatakuwa comfortable nawe
2. Ni show off kwa marafiki zake kuwa kapata.
Hizo ndizo sababu ninazofikiria ..
 
Kuna hii tabia ya mabinti (hasa wa vyuo) unapomwita mmoja bar wanakuja watatu mpaka watano, halafu wakifika baada ya kuagiza vinywaji vya gharama (Redbull, Savanna, nk) hudai kwamba hawajala, wanaagiza chipsi kuku kila mmoja. Wanakula kiduchu halafu wanaacha eti wameshiba. Hii huwa inanikera sana, nani anaweza kuwa na dawa yake?

Kama una 10,000/= mfukoni unaita binti baa ili iweje? Mapenzi na Mkono wa Birika haviendani - Kama huna pesa acha kusumbua mabinti zetu - Endeleaa na shule na mambo yakishakaa sawa utakuwa na uwezo wa kualika hata Baba na Mama yake binti pale Giraffe weekend moja...
 
Mkuu dawa yake ndogo sana.
Siku wakirudia fanya hivi unawaacha waagize weeeeee kisha wewe unamwita muhudumu unawaagizia round moja kisha unaenda kaunta kulipa unalipa round ya mwisho na ulizo jinywea wewe kisha unapita mlango wa nyuma unapanda tuktuk na kuzima simu huku ukikata upepo.
 
Kama una 10,000/= mfukoni unaita binti baa ili iweje? Mapenzi na Mkono wa Birika haviendani - Kama huna pesa acha kusumbua mabinti zetu - Endeleaa na shule na mambo yakishakaa sawa utakuwa na uwezo wa kualika hata Baba na Mama yake binti pale Giraffe weekend moja...

mambo yatakaa vizuri lini?uchumi wenyewe uko ndani ya mifuko ya watu, si atangoja milele!!!
 
Kwanini tu
usitafute girlfriend
Ambaye utakuwa unatoka
naye out na anakutimizia mahitaji mengine?

Maana wajua
hao ni wanafunzi
Of coz hawana fedha nyingi
Za kunirusha u ategemea watakuachia kweli?..

Na hiyo
Ya kuja na
Marafiki zAke
1. Anadhani hatakuwa comfortable nawe
2. Ni show off kwa marafiki zake kuwa kapata.
Hizo ndizo sababu ninazofikiria ..

Usikute huyo aliye mwita ndo anataka awe girlfriend sasa kaja na team nzima kama TP Mazembe.
 
Dawa ya nini? kama wamekula wenyewe na wameacha...!! Tatizo lako unajifanya unazo ndo maana wamekuja kukuchuna...!! kwani lazima ulipe? Mbona Kenya hata kama ni Girlfriend wako hatoki ukimtoa out mpaka umwakikishie kua gharama zote juu yako otherwise lazima aje na mshiko wake, tatizo sisi wabongo tunapenda sifa za kijinga halafu tukuja kulalamika.

Dawa unamega wote full stop.
 
Acha uongo wewe Kenya gani hiyo unayoizungumzia wewe???!!!!!
 
Usikute huyo aliye mwita ndo anataka awe girlfriend sasa kaja na team nzima kama TP Mazembe.

Kama anampenda amwambie tu ukweli kua aje alone hana uwezo wa kuhudumia team nzima,sasa kama ndo kujidai matawi unaumia afu unakuja kulia JF haisaidii chochote
 
Back
Top Bottom