Dawa ya nini? kama wamekula wenyewe na wameacha...!! Tatizo lako unajifanya unazo ndo maana wamekuja kukuchuna...!! kwani lazima ulipe? Mbona Kenya hata kama ni Girlfriend wako hatoki ukimtoa out mpaka umwakikishie kua gharama zote juu yako otherwise lazima aje na mshiko wake, tatizo sisi wabongo tunapenda sifa za kijinga halafu tukuja kulalamika.Kuna hii tabia ya mabinti (hasa wa vyuo) unapomwita mmoja bar wanakuja watatu mpaka watano, halafu wakifika baada ya kuagiza vinywaji vya gharama (Redbull, Savanna, nk) hudai kwamba hawajala, wanaagiza chipsi kuku kila mmoja. Wanakula kiduchu halafu wanaacha eti wameshiba. Hii huwa inanikera sana, nani anaweza kuwa na dawa yake?
Kuna hii tabia ya mabinti (hasa wa vyuo) unapomwita mmoja bar wanakuja watatu mpaka watano, halafu wakifika baada ya kuagiza vinywaji vya gharama (Redbull, Savanna, nk) hudai kwamba hawajala, wanaagiza chipsi kuku kila mmoja. Wanakula kiduchu halafu wanaacha eti wameshiba. Hii huwa inanikera sana, nani anaweza kuwa na dawa yake?

Kama una 10,000/= mfukoni unaita binti baa ili iweje? Mapenzi na Mkono wa Birika haviendani - Kama huna pesa acha kusumbua mabinti zetu - Endeleaa na shule na mambo yakishakaa sawa utakuwa na uwezo wa kualika hata Baba na Mama yake binti pale Giraffe weekend moja...
Kwanini tu
usitafute girlfriend
Ambaye utakuwa unatoka
naye out na anakutimizia mahitaji mengine?
Maana wajua
hao ni wanafunzi
Of coz hawana fedha nyingi
Za kunirusha u ategemea watakuachia kweli?..
Na hiyo
Ya kuja na
Marafiki zAke
1. Anadhani hatakuwa comfortable nawe
2. Ni show off kwa marafiki zake kuwa kapata.
Hizo ndizo sababu ninazofikiria ..
Dawa ya nini? kama wamekula wenyewe na wameacha...!! Tatizo lako unajifanya unazo ndo maana wamekuja kukuchuna...!! kwani lazima ulipe? Mbona Kenya hata kama ni Girlfriend wako hatoki ukimtoa out mpaka umwakikishie kua gharama zote juu yako otherwise lazima aje na mshiko wake, tatizo sisi wabongo tunapenda sifa za kijinga halafu tukuja kulalamika.
Ya vichochoroni yana raha yake Shehe!
Ndio mkubali fumanizi.
Dawa ya nini? kama wamekula wenyewe na wameacha...!! Tatizo lako unajifanya unazo ndo maana wamekuja kukuchuna...!! kwani lazima ulipe? Mbona Kenya hata kama ni Girlfriend wako hatoki ukimtoa out mpaka umwakikishie kua gharama zote juu yako otherwise lazima aje na mshiko wake, tatizo sisi wabongo tunapenda sifa za kijinga halafu tukuja kulalamika.
Acha uongo wewe Kenya gani hiyo unayoizungumzia wewe???!!!!!
Usikute huyo aliye mwita ndo anataka awe girlfriend sasa kaja na team nzima kama TP Mazembe.