The Supreme Conqueror
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 458
- 1,280
Hii video inajieleza kwa mengi sana japo alikuwa na makando kando yake ya kibiashara hasa figisu za masoko kwa wafanya biashara wenzake ambapo katika ushindani wa soko kwa Wafanya biashara ni jambo la kawaida.
Lakini hapa ukimsikiliza Mengi alikuwa na uchungu kwa namna Taifa letu lilivyokuwa linahujumiwa na baadhi ya Viongozi wachache kwa kushirikiana na Wafanyabiashara wa wenye asili ya kigeni.unaweza kusema labda Mengi hakupenda kushiriki katika kuhujumu rasilimali za Nchi yake kwani nafasi hiyo alikuwa nayo.
Mungu ampe pumziko lenye amani