Nimeitupa engagement ring dampo

Umefanya kosa kuitupa, ungeirudisha kwa mwenyewe.
 
.......bila shaka na wewe utajitupia kwingine sasa hivi....halafu useme sisi tukufanyaje ?
 
Acheni kupoteza muda kuchangiaa huu ujinga,tujadiliane mambo ya msingi,upumbavu kama huu ndo unao tuponza wana JF tunaonekana wahuni,i hate this.Haya yanakera na ndo maana watu manatudis na kuhama forum yetu.
 
Nimechoka na kero za mpenz wangu.nikaamua kumwambia "it ova" na kuitupa ring yenye thamani kwenye dampo..mana nimeona kuuza c vizur.bora nitoe uthaman.
<br />
<br / dada yangu umepata ulichostahili. Kwanini mnakubali kuvalishwa pete za uchumba kihumi? Na usipobadilika utaishia kuvalishwa na kutumiwa
 
kutupa pete dampo haitoshi....................................,kata kidole kabisa...............................
 
<br />
<br / dada yangu umepata ulichostahili. Kwanini mnakubali kuvalishwa pete za uchumba kihumi? Na usipobadilika utaishia kuvalishwa na kutumiwa

sasa kama wanahaidiwa maisha mazuri kwakila mtanzania na rais wao na hawayaoni si bora atafute kwa wanaume sasa anakutana na majini ndio shughuli inaanzia hapo
 
Mzazi pole sana sana kwa yaliokukuta ingawa ni waanasema mapenzi ya mungu akiuwa mwizi mapenzi ya mungu
unajua kutupua peeekee aisaidii unaitaji kutafuta kanisa la kilokole ukaombewe vinginevyo utaishhia kuwekewa pete vidoleni kila siku unatakiwa ujue umefanya agano kuvikwa pete na ujue agano umebeba shida zake zingine ambazo unazijua ama ukuzijua ...nimeona wanawake wengi wakiteswa sana na mapenzi ila uamuzi wao ndio unawafikisha pale waanapoitaji kuwa
unajua hata kitendo cha kumfikiria tu pamoja na kwamba umetupa pete umezini nae huyo tayari so lazima ujue kuzini sio lazima umvulie chupi anaweza akawa anazini na wewe pasipo kujua na hili si wewe hata wachungaji wengi wanakuwa wakiwakumbuka magfriend zao lakini awajui kuwakumbuka kunawakumbusha styles na mengineyo na hivyo kuishia kuzini nao...so nenda ukaombewe hilo ndiosoln..na kingine usikimbilie kulalamika tu fanya familliy mapping kwenu pengine kuoa ama kuolewa kwenu ni dhambi angalia baba na mama walipokupata walikuwa kwenye ndoa ??usijeona picha za ndoa za wazazi wako kumbe walikuzaa kama sio kuwazaa kwanza ndio wakaoana..ukiangalia sana utakuta na bibi na babu pengine awakujua ndoa kabisa..so ni wakati wako wewe kusali kuvunja laana za visasi vya familia ili utoke vinginevyo ukikwepa kuolewa basi wanao watakujazia watoto hapo ndani mpaka ukome sikutishi nataka kukutoa ulipo my dear

kingine angalia kuna kitu kinaitwa malango kwenye biblia unaweza kuta mna laana ya point of no return yaani unakuta unaenda unafika sehemu nzuri kabisa ya matokeo mazuri unaamua kuachana nako...labda ujaelewa kuna watu wanafanya biashara nzuri sana sana wanafanikiwa lakini unaweza hisi machizi wanaachana nazo wanaenda biashara zingine..same to hilo lako unaweza fika sehemu nzuri ya kuolewa lakini malango yanagoma kwan nini uolewa unaachana na kuolewa unaishia kutupa pete infact utaona wewe lakini ni maspirit haya ni watu kabisa na hata ukisali unayakemea kama watau yanasikia na kuongea soma ayubu 33:11 utafika mpaka hapa lakini hutopita isiwe kwako tena in jesus name
mchana mwema
 
wasichana wengine bhana, yaani mshkaji ka-toil kupata pesa akutengenezee pete wee hasiria zako tu unakuja kututangazia ujinga wako hapo....
huyu mdada nadhani amechanganyikiwa anatufanya sisi wote humu tuwe kama jairo na luhanjo na mkuu wa kaya? Mbona alipovalishwa hakutujuza tumpe ushauri?> aende zake huko
 
si ungemrudishia tuu mwenyewe pete yake!!! au ulijivisha mwenyewe?
 
ulikereka na nin?? wewe ni mhehe eti?
 
ngekuona wa busara kama ungemrudishia akampa mwingine, mpaka hapo nshakuona wewe sio wife material na hata ukija kuolewa ndoa yako itakuwa ya songombingo siku zote kwwnai huna maamuzi mazuri unakurupuka kama nge, mwanamke anatakiwa upole,kuwa mpembuzi wa jambo,mwangalifu ila wewe mhhhhhhhhhhhhhh utabakia kuwa nunga yembe usipojibadili tabia hizo.
 
Ndiyooo! Great thinkers 4 challenge problems
Acheni kupoteza muda kuchangiaa huu ujinga,tujadiliane mambo ya msingi,upumbavu kama huu ndo unao tuponza wana JF tunaonekana wahuni,i hate this.Haya yanakera na ndo maana watu manatudis na kuhama forum yetu.
<br />
<br />
 
Mlivalishana kimjini mjini na kuivua kimjinimjini so tafuta ingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…