Nimeitwa interview kupitia zoom , lakini wizi mtupu

Wako,
S. K. Kihiyo
255 757 547874
Human resource manager
KIBACHA COMPUTER TRAINING CENTER

Mkuu hapa kuna kila dalili ya utapeli. Jiulize hicho chuo kiko based wapi, hakuna hata anwani ya makazi. Sasa ili kupata ukweli bila kuacha mashaka, piga simu Impala Hotel, uliza kama hicho chuo kimefanya reservation katika siku tajwa.
 

u're right, lakini wakati ule na uchalechale wa secondary niliona ni kama kila m2 na lwake kumbe sio!
 
mashaka yako ni hapa

S. K. Kihiyo
haya majina yanahusishwa na udanganyifu mkubwa.
 
Yani waungwana swala la ajira sanaa mtindo mmoja, kila mtu anakuahidi kuwa ana influence anaweza kukusaidia unaweza shangaa unapigiwa simu mtu anakwambia unaitwa interview then anakwambia utapigiwa upewe maelekezo zaidi hapo ndio umeshaachwa!!!!
 
Tatizo sio zoom ,
Tatizo ni KIBACHA

Wote lao moja!!! Ukishirikian na mwizi basi nawe ni mwizi tu!!
Lazima Zoom wangalie wandeal na waajiri wa aina gani ama sivyo reputation yao itaharibika
 
Hii ni TZ ya mafisadi bana na sasa unahamia kwenye sector binafsi na raia wamalizie
 
Zoom wamekosea wapi? Mkiambiwa msome Science mnakimbilia Arts. Mkome
 
HIYO ELFU KUMI NI YA NINI? MBONA NI KAMA WIZI, ELEZA KIUNDANI
ZOOM TANZANIA KIBOKO.
[/QUOTE]
 
hapo inaonyesha waziwazi kwamba,kinachohitajika ni elfu kumikumi zenu na hakuna kazi hpo,TAFAKARI,CHUKUA HATUA.
 
Pole sana,
lakini hata na mimi naona kwamba kweli huo ni wizi mtupu??????:A S 465:
 
Jamani nipo Arusha, hiyo KIBACHA hata sijawahi kuisikia!!
 
Mkuu kuna dosari kwenye heading, hukuitwa na zoom bali kampuni kwenye red hapa chini.
jiulize maswali machache
1. je uliwahi kuomba kazi kwenye hiyo kampuni tajwa hapa chini?
2. Je professional yako ni kweli inawiana na walichotaja?
3. kwanini muda wa kuitwa kwenye interview ni mdogo sana yaan kwa kushitukizwa...na hiyo kampuni kweli ipo?
4.kwanini utume hela tena kwa mpesa. kwanin wasikuambie uweke kwenye account? halafu jibu utapata kwa sms!! kama hela ya kujikimu ipo na wameweza kutafuta sehemu ya accomodations kwanini wameshindwa kuandaa usafiri?

NAIJA styleeeeee...hahaha...wangeweza kufanikiwa kama wasingeweka madoido na manjonjo kwenye blue mwisho

 
Mjini shule ndugu zangu.. mi nashauri kuwe na REGULATORY AUTHORITY ya hawa jamaa wa Job Searching Agents (madalali wa kazi) coz wengine Bosheni tu.. mtu anakaa chumbani na ki laptop chake anatengeneza tangazazo na kilipost hewani. Nimeishi Arusha but hamna k2 kama kibacha sijui upuuzi gani. then 4 wat i know kama tey can rent rooms at impala hotel(by the way its mamong Most expensive hotels in Arusha) vp wanataka buku 10 zenu? BEWARE PEOPLE, huyo jamaa Mwizi.
 
huu utakua wizi wa mchana kweupe hivi tunaelekea xmas.........
 

Mimi naona una lako jambo na hao zoom. Kwa hiyo ina maana wewe ukipokea message ya utapeli kupitia email yako ya yahoo, utasema yahoo watapeli? acha wivu wa kijinga. Kama unashindwa kuelewa mambo rahisi kiasi hiki, mambo makubwa ya katiba utayaelewa kweli. Mle zoom kuna magari na vifaa mbalimbali vinauzwa - si vya zoom, ni watu wanaweka matangazo tena bure. Sasa wewe ukiingia kichwakichwa ukatapeliwa, utasema ni zoom? AKILI YA KUAMBIWA CHANGANYA NA YA KWAKO
 
Wewe umeitwa kwenye usaili na Zoom au Kibacha??? Acha kupotosha uma Zoom wakitangaza kazi nenda kwenye website ya hilo shirika, wizara nk ndo ukute kama kazi zipo au hakuna.

Zoom imekosea wapi hapo??? Au ni Kibacha?? Mie nimeitwa interview nyingi sana kupitia matangazo ya zoom na siapply kwa zoom bali na apply direct kwa shirika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…