Nimeitwa interview UDOM lakini sitaenda...


pale kuna watu wengi tayari wameshahonga toka cku nyingi wachukuliwe mzee, kuna jamaa wako kwa ajili ya hiyo kazi. wanatuzuga tu hao.unatoa hela ndio upate kazi, tafuta watu wa pale umpe hela unapata kazi mkuu. kuna jamaa ukiwapa kitu kama laki 5 au 1m wanakupigia dili. hata mwaka jana ilikuwa hivo hivo. no more, ni wizi mtupu!........................................................................................................
 
wata interview vipi umati wote huo? hii ni hr management kweli?
 
Hata mimi sitaenda wameniita assistant accounts
ila nimeshaona mizinguo na kichuo chao hiko uswahili+utoto mtupu unaoendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…