nimeitwa kwa ajili ya kupima afya kwa wale tuliofanya usaili polisi kitengo cha teknohama.

Mwamatandala

Member
Joined
Jul 17, 2009
Posts
44
Reaction score
3
jioni ya leo nimetumiwa ujumbe mfupi na afisa wa jeshi la polisi makao makuu kunijulisha kwamba natakiwa kuhudhuria vipimo vya afya ktk hospitali ya polisi kilwa road dar es salaam.
 
Shida iko wap, na ni wangap wamekosa hy chance? Nenda kapime ndg yng.
 
Vp tena unaogopa au unatujulisha umepata wito?
wewe nenda wacha woga au ujuiamini nini?
 
tatizo ppolisi huwa wanazungushana mno, yaani ma wipi (wp-women police) akiliwa na mmoja basi kituo kizima lazima wampitie, mmoja wapo akiwa na ngoma basi woote wanakuwa na ngoma. ndo maana kati ya watu walioathirika ni polisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…