Nimeitwa kwa ajilli ya interview Lagos Nigeria CHEVRON COMPANY

Hivi nigeria yenye watu 100 milioni wamekosa assistant accountant wakutafute expatriate wewe????
 
hivi kweli unaweza itwa kwenye interview something like two months ahead ama? napata mashaka sijawahi sikia hiyo kitu
 

Hapo nilipounderline na kubold ni mahali pazuri sana pa kuandika utapeli, International company haiwezi kuwa na email ya style hyo, hyo ni mtu, kama ni Kampuni tungeona doamin ya kampuni hyo, syo hotmail, yahoo, gmail huo ni uhuni wa kutupa kabisa.
Jitenge na huo uhuni.
 
usiende , utaibiwa na kutelekezwa
 
nimekusoma mkuu asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…