habari ndugu zangu.
Mimi ni mmoja kati ya waombaji walioitwa kwenye interview ya catholic scholarship programme of Tanzania(csp-tz), hivyo naomba ujuzi au muongozo wa maswali kwa waliopitia program hii au hata aliyewahi kushiriki interview ya scholarship yoyote.
Asanteni.