kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,887
- 5,687
Nimepigiwa simu na namba ngeni, bila kujitambulisha kanambia nisaidie kumtafuta mtu fulani ambaye namfahamu, eti alikopa kwao pesa na kuniweka mie mdhanini.
Nikamwambia mie sifanyi hizo kazi. Kanijibu niache utapeli. Nilipozidi kumsisitiza ache kunitusi na sijui namba yangu kaipataje akazidi kuniita tapeli. Nataka niwasiliane na mwanasheria nijue hii issue inawekwa vipi. Ndo hilo wakuu nipeni pole tafadhali. Ila huyo binti ntamkomesha.