Pole sana mkuuwakuu nipeni pole tafadhali.
Yes, mwenyewe ndo nimeelewa hivyo. Mbaya jamaa hakunitaarifu. Lakini sio justifation ya mtoa huduma kunitukana. The best way system yao ingekua inauliza basi consent ya mdhamini kama yuko tayari. Kinacho fanyika ni uhuniKuna mtu amekopa ameweka wewe kama ....
Mdhamini wake
Wachina wameamzosha online loan wako kamac20 sasa .....wanaasjiri watu zsidi 1000 kudai na call center nenda Noble towers uone wakiingia saa 1 au kutoka saa 11 hivi zaidi watu 1000 wako pale.......Yes, mwenyewe ndo nimeelewa hivyo. Mbaya jamaa hakunitaarifu. Lakini sio justifation ya mtoa huduma kunitukana. The best way system yao ingekua inauliza basi consent ya mdhamini kama yuko tayari. Kinacho fanyika ni uhuni
Ongea na mwanasheria upewe kibunda mkuuNimepigiwa simu na namba ngeni, bila kujitambulisha kanambia nisaidie kumtafuta mtu fulani ambaye namfahamu, eti alikopa kwao pesa na kuniweka mie mdhanini.
Nikamwambia mie sifanyi hizo kazi. Kanijibu niache utapeli. Nilipozidi kumsisitiza ache kunitusi na sijui namba yangu kaipataje akazidi kuniita tapeli. Nataka niwasiliane na mwanasheria nijue hii issue inawekwa vipi. Ndo hilo wakuu nipeni pole tafadhali. Ila huyo binti ntamkomesha.
Hapana, wamechukua tu majina kutoka kwenye phone book ya mkopaji alipokubali permission zaoKuna mtu amekopa ameweka wewe kama ....
Mdhamini wake
Binti? Ushafikiria kumgegeda?Ila huyo binti ntamkomesha.
We umewaweza.boss. nimewaeleza ache kunitukana, mie naitwa ... Napatikana taasis fulani, idara fulani , alete malamiko yake hapo, ya kaendelea kuniita tapeliDawa wakope halafu zuia permission baada ya kupata pesa utulize machungu.
Ni washenzi sana hawa watu. Wananidai kama millioni 4 hivi.
Walinichafua na mimi
Dawa wakope halafu zuia permission baada ya kupata pesa utulize machungu.
Ni washenzi sana hawa watu. Wananidai kama millioni 4 hivi.
Walinichafua na mimi
Sasa unawekaje mdhamin bila ridhaa yake na mkopajiKuna mtu amekopa ameweka wewe kama ....
Mdhamini wake