Elroysangi
Member
- Jan 11, 2021
- 11
- 3
Acha mawazo ya hovyo hovyo. Waza positively.Sio kwamba nakukatisha tamaa kama unahela ambayo sio ya mawazo nenda,naona sasaivi ile misingi ya mwanzo ya utumishi sasaivi imeanza kukiukwa
Nyie ndio mnaajiriwa mnakuja kutengeneza mifumo ya hovyo hovyo. Kama kweli unaipenda nakushauri usiende kwenye huo usailisalam kwenu wana jukwaa.
Nimeitwa usaili utumishi next week kada ya ICTO II post ya software developer HESLB.
Hii ndo interview yangu yakwanza utumishi nlikua naomba nimepewe hints wapi pakukazia maana naona kama napapasa gizani.
Asante
Kwanini mzee kwamba sijui kitu naenda fanyaNyie ndio mnaajiriwa mnakuja kutengeneza mifumo ya hovyo hovyo. Kama kweli unaipenda nakushauri usiende kwenye huo usaili
Nlipitia jukwaa hili hili la ajira na nikapata mwanga mzuri tuu. Asante kwa hongeraUnataka Tips za ku pass interview ya 'Software development ' , Jamiiforums tena kwenye jukwaa la ajira?
Seriously?
Hongera.
Nlifanikiwa kufika oral ndo nasubiri majibu walisema 2 weeks naona tuko wiki ya 4 naona kimyaTupe mrejesho
Mlikuwa kama wangapi?Nlifanikiwa kufika oral ndo nasubiri majibu walisema 2 weeks naona tuko wiki ya 4 naona kimya
5 people mzeeMlikuwa kama wangapi?
Mwanzo mlikuwa wangapi kwenye written?5 people mzee
Kama 200 flaniMwanzo mlikuwa wangapi kwenye written?
Aise ulikomaa kweliKama 200 flani