Nimejambiwa live na wachawi leo

Nimejambiwa live na wachawi leo

mkia

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
582
Reaction score
508
Habari za leo wakuu.

Wazee uchawi upo asee. Dah nipo home na wife nikasikia bonge la mjambo kubabeki sasa ishu kuanza kulalamikiana nani kajamba.
Amekimbia faster chumbani nikajua anakwepa harufu na kunikwepa mimi kumbe alikimbilia pafyumu kwa ajili ya kupulizia.

Bana wewe nikajikuta na mimi namkimbilia nijuee labda kajamba yeye maana alikuwa ananituhumu. Cha kushangaza tumeingia chumbani harufu hakuna sasa kuanza kunusana bana hakuna kitu ndio tukaanza kushangaa kurudi sebuleni harufu bado ipo ya ukweli tena ilizidi upande niliokuwa nimekaa bana.

Baada ya hapo wife akasema itakuwa harufu inatoka nje. Kutoka nje kuhakikisha labda inatokea nje hakuna kitu pako safi kabisa.

Naomba kuuliza wazoefu je ilisha wahi kumtokea mtu?

Na je wana maana gani hawa au huyu mtu na nifanye nini kukomesha hii tabia maana hii si mara moja.

Mara nyingi inatokea hali hii mpaka inazua ugomvi wa nani kajamba. Nimeshtuka sana.
 
[emoji28][emoji28] kwanini mawazo yenu ya awali yamekimbilia kwa wachawi? Hapa ndo chanzo cha umaskini wa Afrika kilipo.
Baada ya kuingia wote chumbani tena on the sport sio kwamba baadae sana.
 
Jikague boxer mkuu, inawezekana ushachia kitu laini bila kujijua [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Huyo mchawi wako atakuwa yuko field, bd ni student angekuwa expert mwenyewe mngejamba ww na wife wako with regular interval!
 
Kagua sana sebule kagua jiko zunguka kote hakuna lolote zaidi ya sebuleni.

Mjambo ule ulikwisha na hali ikarejea kuwa safi kabisa.

Wachawi sio watu wazuri asee.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom